Inauma Song Lyrics

Artist: Bien of Sauti Sol

[Verse 1]

Kukosana na wewe, sikutarajia

Kuwa mbali na wewe, aki umeniacha pabaya

Kutengana na wewe, imenibadilisha sana

Nimetamani nilewe, aki nakunywa nasazamana

[Bridge]

Naambia nini watu Regina?

Haya mapenzi yalinoga

Nakumbuka tulipeana majina

Leo baby, kesho tomato

Mitandao ikaleta vitina

Ukawa huambiliki

Nami kichwa changu na kikavimba

Nikawasisemezeki

[Chorus]

Inauma inauma lakini n’tazoea

Inauma inauma lakini n’tazoea

Hali ya mwanaume duniani nikuzoea

Hali ya binadamu duniani nikuzoea, ndio nashindwa

[Instrumentals playing]

[Verse 3]

Densi oh densi, densi tulikamata hadi usiku wa manane, ayy

Kesi oh kesi, kesi tukakubali tutapendana milele

Nyimbo nyimbo, nyimbo tulizopenda zanikumbushanga wewe

Kamisi oh kamisi, kamisi na baika uliwacha nanusanga ndio nilale

Oh yoyo

[Bridge]

Nitaambia nini watu Regina

Haya mapenzi yalinoga

Nakumbuka tukilabata na bia

Party aftеr party

Shetani gani alituingilia?

Akatuweka asander

Ilovito pahali imеnifikisha

I’ll never love another

[Chorus]

Like, inauma inauma lakini n’tazoea

Inauma inauma lakini n’tazoea

Hali ya binadamu duniani nikuzoea

Hali ya mwanaume duniani nikuzoea, ndio nashindwa

Inauma inauma lakini n’tazoea

Inauma inauma lakini n’tazoea

Hali ya binadamu duniani nikuzoea

Hali ya mwanaume duniani nikuzoea, ndio nashindwa

[Instrumentals playing]

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *